Gazeti la An-Nuur

Usikose nakala yako ya Annur kila Ijumaa
DONDOO MUHIMU
1. Familia ya Sheikh Ponda katika wasiwasi mkubwa
– Watakiwa kutoa damu, mate
– Ndege yaandaliwa kuwaleta Dar
– Wasema labda afufuliwe Mzee Issa
2. Vita dhidi ya Uislamu yapamba moto
– Unapokuwa Sheikh huna haki
– Polisi wajue nao hawapo salama
– Si lazima waige ya Pennsylvania Avenue Uk 6
3 Mwanasheria Mkuu Z’bar apasua jipu la Muungano
– Afananisha kero na mtu mwenye ukurutu
– Akitibiwa pele kumi bado ni mgonjwa sana
– Asema maridhiano yamekuwa kama togwa
– Ahimiza ushiriki mchakato wa Katiba Mpya
4 Wafungwa 8 wasilimishwa
– Ni kazi ya wafungwa wa maandamano
– Waislam watakiwa kusaidia familia zao Uk 3
5 Wafungwa 8 wasilimishwa
6 Wabunge zindukeni udini utatupeka pabaya
– Serikali imeshashikwa
– Huu sio muda wa Bunge la vyama
7 Zanzibar kabla ya Muungano
– Na Said Rajab Uk 5
8 Sakata la kuchinja: Tanzania kuwa Kongo nyingine?
– Mjadala wa kuchinja umebuniwa na nani?
9 Waislamu waendelea na Itikaf
– Kila linalotokea Z’bar kidole ni Uamsho
10 Iran yafanyia jaribio kombora la balistiki
– Yatengeneza ndege mpya ya kivita
USIKOSE NAKALA YAKO YA ANNUR KILA IJUMAA
Kwa maelezo zaidi,Nakala ya gazeti la wiki hii la Annur inapatikana HAPA http://www.scribd.com/doc/138678763/ANNUUR-1068

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s